


Waziri mkuu wa Ukraine, Oleksiy Honcharuk leo amesema kuwa amewasilisha barua yake ya kujizulu kwa Rais Volodymyr Zelensky, kufuatia ripoti za kurikodiwa akitoa matamshi ya matusi dhidi ya Rais huyo.
Honcharuk amesema hatua yake ya kujiuzulu imenuwia kuondoa shaka juu ya heshima na utiifu alionao kwa Rais.
Awali vyombo vya habari vya Ukraine viliripoti juu ya sauti iliyorekodiwa ambapo Honcharuk anadaiwa kumuelezea Rais Zelensky kama mtu mwenye ufahamu wa kale kuhusu masuala ya kiuchumi na uwezo mdogo wa kujifunza kuhusu nyanja hiyo.
Wanandoa wauawa kwa kucharangwa mapanga na ndugu
Hadi sasa bado haijabainika wazi iwapo Honcharuk ambaye licha ya kuwa mwanasiasa pia ni mwanasheria alieunga mkono mageuzi makubwa ya kiuchumi nchini humo ataacha kweli nafasi hiyo ambapo Bunge litapaswa kuidhinisha barua yake ya kujiuzulu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia watu saba ambao ni Sophia Joseph, Joseph Magambo, Alphonce Karoli, Martine Makabe, Alex Leopord, Salvatory Mwiliza na Aloyce Leopord kwa tuhuma za mauaji ya wanandoa wawili huku chanzo kikielezwa kuwa ni mgogoro wa ardhi.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, Revocatus Malimi, amesema kuwa tukio hilo lilitokea Januari 14, 2020, majira ya saa 7:00 usiku, katika Kijiji cha Mabale, Kata ya Nyakahura wilayani Biharamulo, ambapo wanandoa hao walikuwa wamelala na ndipo walipovamiwa na kundi kubwa la watu na kuanza kuwacharanga mapanga sehemu zao mbalimbali za miili yao.
“Kabla ya tukio hilo, kulikuwa na mgogoro wa ardhi kati ya marehemu na baadhi ya wana ukoo kwa muda mrefu, uliotokana na kuachiwa eneo alilokuwa akiishi na Babu yake, aliyehama kwa shinikizo la wana jamii waliomtuhumu kuwa ni mwizi” amesema Kamanda Malimi.
Mbeya: Kondomu zilizo ”expire” zaanikwa juani ili zitumike
Kamanda Malimi amesema wanandoa hao waliopoteza maisha yao ni Elizeus Rubanie (35) na mke wake, Juliana Joseph (28), na kusisitiza kwamba upelelezi utakapokamilika watuhumiwa wote watafikishwa mahakamani.